Monday, 17 November 2014

MICHUANO YA EURO

Michezo kadhaa imepigwa kuwania kufuzu fainali
za Euro mwaka 2016
katika

kundi A,
Uholanzi imeichapa Latvia mabao
6-0,Jamuhuri ya Czech imetoka kifua mbele kwa
mabao 2 dhidi ya 1 la Iceland, Uturuki nayo
ikaiadhibu Kazakhstan kwa 3-1
Katika

kundi B

Ubelgiji na Wales walitoka sare ya kutofungana,
Cyprus imeitandika Andorra mabao matano bila
majibu na Israel imeichapa Bos Herce mabao
matatu kwa sifuri.
Kundi H lilikutanisha Azerbaijan na Norway
ambapo,Norway iliondoka na ushindi wa goli moja
kwa sifuri, Bulgaria ikatoka sare ya moja kwa moja
na Malta, halikadhalika italia ilitoka sare ya moja
kwa moja na Croatia.

No comments:

Post a Comment