wamefyatua gesi ya kutoa machozi
ndani ya jengo
la bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala
muhimu wa bunge hilo kuhusu kurefushwa kwa
kipindi cha hali ya tahadhari kaskazini mwa nchi
hiyo.
Mwaandishi wa BBC amesema kuwa maafisa wa
Polisi walikuwa wakijaribu kumzuia spika wa
Bunge la waakilishi Aminu Tambuwal, ambaye
alihamia chama cha upinzani mwezi uliopita
kuendelea na mjadala huo.
Wabunge wa upinzani wanasema kuwa hali ya
tahadhari imeshindwa kuhimili visa vya wapiganaji
wa kiislam wa Boko Haram.
Mwaandishi w BBC aidha anaongeza kuwa afisa
mkuu wa polisi ametakiwa kufika mbele ya baraza
la Senate kuelezea hatua hiyo ya maofisa wa polisi
kurusha vitoa machozi ndani ya Bunge.
Bunge limefungwa hadi juma lijalo.
T
No comments:
Post a Comment